Yohana 16:7 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 7 Hata hivyo, ninawaambia ninyi kweli, ninaenda zangu kwa faida yenu. Kwa maana nisipoenda zangu, msaidizi+ hatakuja kwenu kamwe; bali nikienda zangu, nitamtuma kwenu.
7 Hata hivyo, ninawaambia ninyi kweli, ninaenda zangu kwa faida yenu. Kwa maana nisipoenda zangu, msaidizi+ hatakuja kwenu kamwe; bali nikienda zangu, nitamtuma kwenu.