-
Matendo 20:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 “Na sasa, tazameni! ninajua kwamba ninyi nyote ambao nilienda kati yenu nikihubiri juu ya ufalme hamtauona uso wangu tena.
-