Matendo 21:33 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 33 Ndipo kiongozi wa kijeshi akaja karibu akamkamata na kutoa amri afungwe minyororo miwili;+ naye akaanza kuuliza huyo ni nani na alikuwa amefanya nini.
33 Ndipo kiongozi wa kijeshi akaja karibu akamkamata na kutoa amri afungwe minyororo miwili;+ naye akaanza kuuliza huyo ni nani na alikuwa amefanya nini.