Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yohana 19:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Kwa hiyo Pilato, baada ya kusikia maneno hayo, akamleta Yesu nje, naye akaketi juu ya kiti cha hukumu mahali panapoitwa Sakafu ya Jiwe, lakini, katika Kiebrania, Gabatha.

  • Matendo 12:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Lakini siku fulani iliyowekwa Herode akajivika vazi la kifalme na kuketi juu ya kiti cha hukumu na kuanza kuwatolea hotuba ya watu wote.

  • Matendo 25:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Kwa hiyo walipokuja pamoja hapa, sikukawia, bali siku iliyofuata niliketi juu ya kiti cha hukumu na kuamuru mwanamume huyo aingizwe ndani.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki