Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Matendo 25:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Lakini Paulo alipokata rufani+ awekwe kwa ajili ya uamuzi wa Mheshimiwa, nikaamuru awekwe mpaka nimtume kwa Kaisari.”

  • Matendo 26:32
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 32 Zaidi ya hayo, Agripa akamwambia Festo: “Mtu huyu angaliweza kufunguliwa kama hakuwa amekata rufani+ kwa Kaisari.”

  • Matendo 28:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Lakini Wayahudi walipoendelea kusema vibaya juu ya jambo hilo, nililazimika kukata rufani+ kwa Kaisari, lakini si kana kwamba nilikuwa na jambo lolote la kushtaki taifa langu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki