-
Matendo 10:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 Siku ya pili yake akaingia Kaisaria. Bila shaka, Kornelio alikuwa akiwatarajia naye alikuwa amewaita pamoja jamaa zake na rafiki zake wa karibu sana.
-