Matendo 13:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Na walipofika Salami wakaanza kulitangaza neno la Mungu katika masinagogi ya Wayahudi. Pia walikuwa na Yohana+ akiwatumikia. Matendo 18:19 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 19 Kwa hiyo wakafika Efeso, naye akawaacha huko; lakini yeye mwenyewe akaingia ndani ya sinagogi+ akajadiliana na Wayahudi.
5 Na walipofika Salami wakaanza kulitangaza neno la Mungu katika masinagogi ya Wayahudi. Pia walikuwa na Yohana+ akiwatumikia.
19 Kwa hiyo wakafika Efeso, naye akawaacha huko; lakini yeye mwenyewe akaingia ndani ya sinagogi+ akajadiliana na Wayahudi.