-
Mathayo 28:15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
15 Kwa hiyo wakachukua vile vipande vya fedha wakafanya kama walivyoagizwa; na maneno hayo yamesambazwa kotekote kati ya Wayahudi mpaka leo hii.
-