Mwanzo 4:8 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 8 Baada ya hayo Kaini akamwambia Abeli ndugu yake: “Twende shambani.” Basi ikawa kwamba walipokuwa shambani Kaini akamshambulia Abeli ndugu yake, akamuua.+
8 Baada ya hayo Kaini akamwambia Abeli ndugu yake: “Twende shambani.” Basi ikawa kwamba walipokuwa shambani Kaini akamshambulia Abeli ndugu yake, akamuua.+