-
Mwanzo 39:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Hatimaye akamwachia Yosefu usimamizi wa vitu vyake vyote, naye hakujishughulisha na kitu chochote isipokuwa chakula chake. Isitoshe, Yosefu akawa mwanamume mwenye umbo zuri na sura inayopendeza.
-