Mwanzo 40:21, 22 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 21 Akamrudisha msimamizi mkuu wa vinywaji kwenye cheo chake, akaendelea kumpa Farao kikombe. 22 Lakini akamtundika mwokaji mkuu, kama Yosefu alivyokuwa ameeleza.*+
21 Akamrudisha msimamizi mkuu wa vinywaji kwenye cheo chake, akaendelea kumpa Farao kikombe. 22 Lakini akamtundika mwokaji mkuu, kama Yosefu alivyokuwa ameeleza.*+