-
Mwanzo 41:26Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
26 Wale ng’ombe saba wazuri ni miaka saba. Na yale masuke saba mazuri ya nafaka ni miaka saba pia. Ndoto zako ni ndoto moja, ndoto ileile.
-
-
Mwanzo 41:47Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
47 Na katika miaka saba ya chakula kingi, nchi ilizaa chakula kingi sana.
-