Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 41:48, 49
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 48 Naye aliendelea kukusanya chakula chote cha miaka saba katika nchi ya Misri, akakiweka katika maghala majijini. Katika kila jiji alikusanya chakula kutoka katika mashamba yaliyozunguka jiji hilo. 49 Yosefu akaendelea kukusanya nafaka nyingi sana katika maghala, kama mchanga wa bahari, hivi kwamba mwishowe wakaacha kuipima kwa sababu haingeweza kupimwa.

  • Mwanzo 47:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Yosefu akawaambia: “Ikiwa pesa zenu zimekwisha, leteni mifugo yenu, nami nitawapa chakula na kuchukua mifugo yenu.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki