Hesabu 26:5, 6 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Rubeni,+ mzaliwa wa kwanza wa Israeli; wana wa Rubeni+ walikuwa: kutoka kwa Hanoki, ukoo wa Wahanoki; kutoka kwa Palu, ukoo wa Wapalu; 6 kutoka kwa Hezroni, ukoo wa Wahezroni; kutoka kwa Karmi, ukoo wa Wakarmi.
5 Rubeni,+ mzaliwa wa kwanza wa Israeli; wana wa Rubeni+ walikuwa: kutoka kwa Hanoki, ukoo wa Wahanoki; kutoka kwa Palu, ukoo wa Wapalu; 6 kutoka kwa Hezroni, ukoo wa Wahezroni; kutoka kwa Karmi, ukoo wa Wakarmi.