-
Hesabu 26:38-40Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
38 Wana wa Benjamini+ kulingana na koo zao walikuwa: kutoka kwa Bela,+ ukoo wa Wabela; kutoka kwa Ashbeli, ukoo wa Waashbeli; kutoka kwa Ahiramu, ukoo wa Waahiramu; 39 kutoka kwa Shefufamu, ukoo wa Washufamu; kutoka kwa Hufamu, ukoo wa Wahufamu. 40 Wana wa Bela ni Ardi na Naamani:+ kutoka kwa Ardi, ukoo wa Waardi; kutoka kwa Naamani, ukoo wa Wanaamani.
-