Hesabu 26:48, 49 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 48 Wana wa Naftali+ kulingana na koo zao walikuwa: kutoka kwa Yahzeeli, ukoo wa Wayahzeeli; kutoka kwa Guni, ukoo wa Waguni; 49 kutoka kwa Yezeri, ukoo wa Wayezeri; kutoka kwa Shilemu, ukoo wa Washilemu.
48 Wana wa Naftali+ kulingana na koo zao walikuwa: kutoka kwa Yahzeeli, ukoo wa Wayahzeeli; kutoka kwa Guni, ukoo wa Waguni; 49 kutoka kwa Yezeri, ukoo wa Wayezeri; kutoka kwa Shilemu, ukoo wa Washilemu.