Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 45:17, 18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Basi Farao akamwambia Yosefu: “Waambie ndugu zako, ‘Fanyeni hivi: Watwikeni mizigo wanyama wenu wanaobeba mizigo, mwende katika nchi ya Kanaani, 18 mkamchukue baba yenu na familia zenu mje kwangu. Nitawapa vitu vizuri vya nchi ya Misri, nanyi mtakula* sehemu bora kabisa ya* nchi.+

  • Mwanzo 47:27
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 Waisraeli wakaendelea kuishi Misri, katika nchi ya Gosheni,+ wakakaa humo, nao wakaongezeka na kuwa wengi sana.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki