-
Mwanzo 41:30, 31Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
30 Lakini baada ya miaka hiyo, hakika kutakuwa na miaka saba ya njaa kali, nanyi hakika mtasahau chakula kingi sana kilichokuwa katika nchi ya Misri, na njaa hiyo kali itaiharibu nchi.+ 31 Nanyi hamtakumbuka chakula kingi sana kilichokuwa nchini kwa sababu ya njaa kali itakayofuata, kwa maana itakuwa kali sana.
-