-
Mwanzo 2:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Dunia bado haikuwa na kichaka chochote na hakuna mmea wowote uliokuwa umeanza kuchipuka, kwa sababu Yehova Mungu hakuwa amefanya mvua inyeshe duniani na hapakuwa na mtu wa kuilima ardhi.
-