Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 13:5, 6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Sasa Loti, aliyekuwa akisafiri pamoja na Abramu, alikuwa pia na kondoo, ng’ombe, na mahema. 6 Basi wote hawangeweza kukaa pamoja kwa sababu nchi haikuwatosha; mali zao zilikuwa zimeongezeka sana hivi kwamba hawangeweza tena kukaa pamoja.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki