3 Alipiga kambi sehemu moja baada ya nyingine aliposafiri kutoka Negebu kwenda Betheli, mpaka alipofika mahali alipokuwa amepiga hema lake kati ya Betheli na Ai,+
2 Basi Yoshua akatuma wanaume kutoka Yeriko waende Ai,+ karibu na Beth-aveni, upande wa mashariki wa Betheli,+ akawaambia: “Pandeni mkaipeleleze nchi.” Kwa hiyo wanaume hao wakapanda na kwenda kupeleleza jiji la Ai.