-
Mwanzo 14:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Sasa Bonde la Sidimu lilikuwa limejaa mashimo ya lami, na wafalme wa Sodoma na Gomora walijaribu kutoroka lakini wakaanguka humo, na wale waliobaki wakakimbilia eneo lenye milima.
-