-
Waamuzi 19:23, 24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 Ndipo mwenye nyumba akatoka nje na kuwaambia, “Sivyo, ndugu zangu, msifanye uovu. Tafadhali, mtu huyu ni mgeni wangu. Msifanye jambo hili la aibu. 24 Hapa nina binti bikira na pia suria wa mwanamume huyu. Acheni niwatoe nje, ili mwatendee mambo ya aibu, ikiwa mnataka kufanya hivyo.*+ Lakini msimtendee mwanamume huyu jambo hili la aibu.”
-