Kumbukumbu la Torati 2:9 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 9 Ndipo Yehova akaniambia, ‘Msizozane wala kupigana na Wamoabu, kwa sababu sitawapa ninyi sehemu yoyote ya nchi yao ili mwimiliki kwa sababu nimewapa wazao wa Loti+ nchi ya Ari ili waimiliki.
9 Ndipo Yehova akaniambia, ‘Msizozane wala kupigana na Wamoabu, kwa sababu sitawapa ninyi sehemu yoyote ya nchi yao ili mwimiliki kwa sababu nimewapa wazao wa Loti+ nchi ya Ari ili waimiliki.