Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 20:17, 18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Na Abrahamu akaanza kumwomba dua Mungu wa kweli, naye Mungu akamponya Abimeleki na mke wake na vijakazi wake, nao wakaanza kuzaa watoto; 18 kwa maana Yehova alikuwa amewafanya wanawake wote wa nyumba ya Abimeleki wawe tasa* kwa sababu ya Sara, mke wa Abrahamu.+

  • Mwanzo 26:26
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 26 Baadaye Abimeleki akamtembelea kutoka Gerari akiwa pamoja na Ahuzathi mshauri wake na Fikoli mkuu wa jeshi lake.+

  • Mwanzo 26:28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 Wakamwambia: “Tumeona wazi kwamba Yehova amekuwa pamoja nawe.+ Basi tukasema, ‘Tafadhali, na kuwe na kiapo cha wajibu kati yetu sisi na wewe, na tufanye agano pamoja nawe+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki