Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 17:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Ndipo Mungu akasema: “Mke wako Sara hakika atakuzalia mwana, nawe unapaswa kumpa jina Isaka.*+ Nami nitaimarisha agano langu pamoja naye liwe agano la milele kwa uzao wake* baada yake.+

  • Mwanzo 26:12-14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Na Isaka akaanza kupanda mbegu katika nchi hiyo, na mwaka huo alivuna mara 100 zaidi ya mbegu alizopanda, kwa kuwa Yehova alikuwa akimbariki.+ 13 Mwanamume huyo akatajirika, naye akaendelea kupata ufanisi mpaka akawa tajiri sana. 14 Alipata makundi ya kondoo na makundi ya ng’ombe na kundi kubwa la watumishi,+ nao Wafilisti wakaanza kumwonea wivu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki