-
Mwanzo 24:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Basi msichana huyo alikuwa mrembo sana, bikira; hakuna mwanamume yeyote aliyekuwa amefanya ngono naye. Akateremka chini kwenye chemchemi, akaujaza maji mtungi wake, kisha akapanda kurudi.
-