Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 25:31-33
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 31 Ndipo Yakobo akamwambia: “Kwanza niuzie haki yako ya mzaliwa wa kwanza!”+ 32 Esau akasema: “Ninakaribia kufa! Haki ya kuzaliwa ina faida gani kwangu?” 33 Yakobo akamwambia: “Niapie kwanza!” Basi akamwapia na kumuuzia Yakobo haki yake ya mzaliwa wa kwanza.+

  • Waroma 9:10-12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Lakini si wakati huo tu, bali pia Rebeka alipopata mimba ya mapacha kupitia yule mwanamume mmoja, Isaka babu yetu;+ 11 kwa maana walipokuwa bado hawajazaliwa wala kufanya jambo lolote jema au baya, ili kusudi la Mungu kuhusu kuchagua liendelee kutegemea, si matendo, bali Yule ambaye huita, 12 Rebeka aliambiwa: “Mkubwa atakuwa mtumwa wa mdogo.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki