Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 27:37
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 37 Lakini Isaka akamjibu Esau: “Tazama, nimemweka awe bwana juu yako,+ nami nimempa ndugu zake wote wawe watumishi wake, nami nimempa nafaka na divai mpya ili kumtegemeza.+ Mwanangu, ni nini kilichobaki ninachoweza kukufanyia?”

  • Kumbukumbu la Torati 7:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Atawapenda na kuwabariki na kuwafanya mwongezeke. Naam, atawabariki kwa kuwapa watoto wengi,*+ mazao ya ardhi yenu, nafaka yenu, divai yenu mpya, mafuta yenu,+ ndama na wanakondoo wa makundi yenu, katika nchi aliyowaapia mababu zenu kwamba atawapa ninyi.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki