51 Kisha Hadadi akafa.
Mashehe wa Edomu walikuwa Shehe Timna, Shehe Alva, Shehe Yethethi,+ 52 Shehe Oholibama, Shehe Ela, Shehe Pinoni, 53 Shehe Kenasi, Shehe Temani, Shehe Mibsari, 54 Shehe Magdieli, na Shehe Iramu. Hao ndio waliokuwa mashehe wa Edomu.