-
Kutoka 26:19-21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
19 “Utatengeneza vikalio 40 vya fedha+ chini ya vile viunzi 20: vikalio viwili chini ya kiunzi kimoja pamoja na ndimi zake mbili, na vikalio viwili chini ya kila kiunzi kinachofuata pamoja na ndimi zake mbili.+ 20 Utatengeneza viunzi 20 upande wa pili wa hema, upande wa kaskazini 21 pamoja na vikalio vyake 40 vya fedha, vikalio viwili chini ya kiunzi kimoja na vikalio viwili chini ya kila kiunzi kinachofuata.
-