-
Kutoka 26:36, 37Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
36 Kwa ajili ya mlango wa hema, utatengeneza pazia la nyuzi za bluu, sufu ya zambarau, kitambaa cha rangi nyekundu, na kitani bora kilichosokotwa na kufumwa.+ 37 Utatengeneza nguzo tano za mshita na kuzifunika kwa dhahabu kwa ajili ya pazia hilo. Kulabu zake zitakuwa za dhahabu, nawe utazitengenezea vikalio vitano vya shaba.
-