Mwanzo 3:24 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 24 Basi akamfukuza mtu huyo, akaweka upande wa mashariki wa bustani ya Edeni makerubi+ na upanga unaowaka uliokuwa ukizunguka mfululizo ili kuilinda njia ya kwenda kwenye mti wa uzima.
24 Basi akamfukuza mtu huyo, akaweka upande wa mashariki wa bustani ya Edeni makerubi+ na upanga unaowaka uliokuwa ukizunguka mfululizo ili kuilinda njia ya kwenda kwenye mti wa uzima.