Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 30:23-25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 “Kisha, chukua manukato bora kabisa: kilogramu 6 za manemane iliyoganda, kilogramu 3 za mdalasini wenye harufu nzuri, kilogramu 3 za kane, 24 na kilogramu 6 za kida, zilizopimwa kwa shekeli ya kawaida ya mahali patakatifu,*+ pamoja na hini moja* ya mafuta ya zeituni. 25 Kisha utumie manukato hayo kutengeneza mafuta matakatifu ya kutia mafuta; manukato hayo yanapaswa kuchanganywa pamoja kwa ustadi.*+ Yatakuwa mafuta matakatifu ya kutia mafuta.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki