Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 9:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Siku ambayo hema la ibada lilijengwa,+ wingu lilifunika hema la ibada, yaani, hema la Ushahidi, lakini wakati wa jioni kitu kilichoonekana kama moto kilikaa juu ya hema hilo mpaka asubuhi.+

  • Ufunuo 15:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Na patakatifu pakajaa moshi kwa sababu ya utukufu wa Mungu+ na kwa sababu ya nguvu zake, na hakuna yeyote aliyeweza kuingia patakatifu mpaka yale mapigo saba+ ya wale malaika saba yalipomalizika.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki