Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 9:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Kila mara wingu hilo lilipoinuka kutoka juu ya hema, Waisraeli waliondoka bila kukawia,+ na mahali ambapo wingu hilo lilisimama, hapo ndipo Waisraeli walipopiga kambi.+

  • Hesabu 9:22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Iwe ni kwa siku mbili, mwezi mmoja, au muda mrefu zaidi, muda wote ambao wingu hilo lilikaa juu ya hema la ibada, Waisraeli waliendelea kupiga kambi nao hawakuondoka. Lakini lilipoinuka waliondoka.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki