Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 15:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Siku hiyo Yehova alifanya agano+ pamoja na Abramu, akisema: “Nitaupa uzao wako* nchi hii,+ kuanzia mto wa Misri mpaka kwenye ule mto mkubwa, mto Efrati:+

  • Mwanzo 28:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Naye atakupa wewe na uzao wako* baraka ambayo alimwahidi Abrahamu,+ ili uimiliki nchi ambamo umekuwa ukiishi kama mgeni, nchi ambayo Mungu alimpa Abrahamu.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki