Kutoka 10:28, 29 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 28 Farao akamwambia: “Ondoka mbele yangu! Usithubutu kuuona uso wangu tena, kwa maana siku utakapouona uso wangu, utakufa.” 29 Ndipo Musa akasema: “Na iwe kama ulivyosema, sitathubutu kuuona uso wako tena.”
28 Farao akamwambia: “Ondoka mbele yangu! Usithubutu kuuona uso wangu tena, kwa maana siku utakapouona uso wangu, utakufa.” 29 Ndipo Musa akasema: “Na iwe kama ulivyosema, sitathubutu kuuona uso wako tena.”