Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 12:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Kwa siku saba mtakula mikate isiyo na chachu.+ Naam, siku ya kwanza mtaondoa nyumbani mwenu unga uliokandwa wenye chachu, kwa sababu mtu yeyote atakayekula kitu kilichotiwa chachu kuanzia siku ya kwanza mpaka siku ya saba, ni lazima auawe kutoka katika Israeli.

  • Kutoka 34:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 “Mnapaswa kuadhimisha Sherehe ya Mikate Isiyo na Chachu.+ Mtakula mikate isiyo na chachu, kama nilivyowaamuru; mtaila kwa siku saba wakati uliowekwa katika mwezi wa Abibu,*+ kwa sababu mlitoka Misri katika mwezi wa Abibu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki