Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 19:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Waliondoka Refidimu+ wakafika katika nyika ya Sinai na kupiga kambi nyikani. Waisraeli walipiga kambi huko mbele ya mlima.+

  • 1 Wafalme 19:8, 9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Basi akaamka, akala na kunywa, na kwa nguvu za chakula hicho akasafiri kwa siku 40, mchana na usiku, mpaka alipofika Horebu, mlima wa Mungu wa kweli.+

      9 Huko akaingia pangoni+ na kulala humo usiku; na tazama! neno la Yehova likamjia na kumuuliza: “Unafanya nini hapa, Eliya?”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki