5 Zaidi ya hayo, nitadai muwajibike kwa sababu ya damu ya uhai wenu.* Nitadai kila kiumbe aliye hai awajibike; nami nitamdai kila mwanadamu awajibike kwa sababu ya uhai wa ndugu yake.+
33 “‘Msiichafue nchi mnayoishi ndani yake, kwa sababu damu inachafua nchi,+ na hakuna msamaha kwa ajili ya damu iliyomwagwa nchini isipokuwa kwa kumwaga damu ya yule aliyeimwaga.+