Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 22:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 “Moto ukiwaka na kuenea katika vichaka vya miiba na kuteketeza masuke au nafaka iliyo shambani au shamba, yule aliyewasha moto huo lazima alipie kilichoteketea.

  • Kutoka 22:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 “Lakini mtu yeyote akiazima mnyama kutoka kwa jirani yake, na mnyama huyo alemazwe au afe wakati mwenyewe hayupo, aliyeazima mnyama huyo lazima alipe.

  • Kumbukumbu la Torati 22:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 “Ukijenga nyumba mpya, ni lazima pia ujenge ukuta kuzunguka ukingo wa paa lako,+ ili mtu asianguke kutoka kwenye paa nawe uiletee familia yako hatia ya damu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki