-
Kutoka 36:27-30Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
27 Akatengeneza viunzi sita sehemu ya nyuma ya hema la ibada, upande wa magharibi.+ 28 Naye akatengeneza viunzi viwili viwe mihimili miwili ya pembeni upande wa nyuma wa hema la ibada. 29 Katika pembe zote mbili kulikuwa na viunzi viwili kuanzia sehemu ya chini mpaka sehemu ya juu, kwenye pete ya kwanza. Hivyo ndivyo alivyotengeneza ile mihimili miwili ya pembeni. 30 Kwa ujumla kulikuwa na viunzi vinane na vikalio vyake 16 vya fedha, vikalio viwili chini ya kila kiunzi.
-