-
Kutoka 36:31-33Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
31 Kisha akatengeneza fito za mshita, fito tano kwa ajili ya viunzi vya upande mmoja wa hema la ibada+ 32 na fito tano kwa ajili ya viunzi vya upande wa pili wa hema la ibada na fito tano kwa ajili ya viunzi vya sehemu ya nyuma ya hema la ibada, upande wa magharibi. 33 Akatengeneza ufito katikati ya viunzi kutoka mwisho mmoja mpaka mwisho mwingine.
-