Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 38:18, 19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Pazia la mlango wa ua lilifumwa kwa nyuzi za bluu, sufu ya zambarau, kitambaa cha rangi nyekundu, na kitani bora kilichosokotwa. Lilikuwa na urefu wa mikono 20 na kimo cha mikono 5, sawa na kimo cha mapazia ya ua yanayoning’inia.+ 19 Nguzo zake nne na vikalio vyake vinne vilikuwa vya shaba. Kulabu zake zilikuwa za fedha, na sehemu za juu za nguzo hizo pamoja na vitanzi* vilifunikwa kwa fedha.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki