Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 35:30-34
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 30 Kisha Musa akawaambia Waisraeli: “Tazameni, Yehova amemchagua Bezaleli mwana wa Uri mwana wa Huru wa kabila la Yuda.+ 31 Amemjaza roho ya Mungu, amempa hekima, uelewaji, na ujuzi katika kila aina ya ufundi 32 ili abuni kazi za usanii akitumia dhahabu, fedha, na shaba, 33 ili achonge na kupamba kwa mawe, na kutengeneza vifaa vya mbao vya kila aina kwa usanii. 34 Naye ameweka moyoni mwake ustadi wa kufundisha, yeye na Oholiabu+ mwana wa Ahisamaki wa kabila la Dani.

  • 1 Mambo ya Nyakati 2:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Huru akamzaa Uri. Uri akamzaa Bezaleli.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki