Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 28:9-11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 “Utachukua mawe mawili ya shohamu+ na kuchonga juu yake majina ya wana wa Israeli,+ 10 majina sita juu ya jiwe moja na majina mengine sita juu ya jiwe lingine, kulingana na umri wao. 11 Mchonga mawe atachonga majina ya wana wa Israeli kwenye mawe hayo mawili kama mtu anavyochonga muhuri.+ Kisha mawe hayo yatatiwa katika vifuko vya dhahabu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki