Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 22:22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Lakini Mungu akakasirika sana kwa sababu Balaamu alikuwa akienda, na malaika wa Yehova akasimama njiani ili kumzuia. Sasa Balaamu alikuwa amepanda juu ya punda wake, na watumishi wake wawili walikuwa pamoja naye.

  • 1 Mambo ya Nyakati 21:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Daudi alipoinua macho yake, alimwona malaika wa Yehova akiwa amesimama kati ya dunia na mbingu akiwa ameshika mkononi mwake upanga uliochomolewa+ na kuelekezwa Yerusalemu. Mara moja, Daudi na wazee, wakiwa wamevaa nguo za magunia,+ wakajiangusha chini kifudifudi.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki