-
Mambo ya Walawi 13:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Kuhani atachunguza sehemu iliyoathiriwa ya ngozi. Ikiwa nywele za sehemu hiyo zimebadilika kuwa nyeupe na ugonjwa umepenya chini ya ngozi, huo ni ugonjwa wa ukoma. Kuhani atauchunguza na kutangaza kwamba mtu huyo si safi.
-