-
Mambo ya Walawi 14:6, 7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Lakini anapaswa kumchukua ndege aliye hai na kumtumbukiza pamoja na tawi la mwerezi, kitambaa cha rangi nyekundu, na tawi la hisopo ndani ya damu ya ndege aliyechinjiwa kwenye maji ya kijito. 7 Kisha kuhani atachukua damu hiyo na kumnyunyizia mara saba mtu anayejitakasa ukoma wake na kumtangaza kuwa safi, halafu atamwachilia ndege aliye hai aende zake mashambani.+
-